Thursday, January 14, 2016

Kwa 191 Miaka Mama Esifiho Yawezekana kuwa ndio mwanamke mkongwe kuliko wote duniani



Tupate fursa ya kumjua mama  Mama Efisho, mwenye umri wa miaka 191 ,Hii inatoka kwa KINYIN’GINYA, Ajulikanae kama  Mr. Avuefeyen.
Kutoka kwa  KINYIN’GINYA wake bibi huyu waishio huko Ellu (Edhemoko,  Mtaa wa Akaluba, Ellu huko Nigeria) ktk jimbo la  Delta
Alipokuwa akiulizwa maswali , Mr. Avufeyen alisema ya kwamba bibi huyu ameshuhudia vifo vya babu zake wawili.
Na yakithibitika bibi huyu atakuwa mwanamke mkongwe kuliko wanawake wote duniani, Mama Efisho 

Bibi akiwa amejipumzisha
Chini ni list ya Wikipedia ikiwa inawaonyesha (Ajuza) wakongwe  lakini Jina la Mama Esifiho

Rank
Name
Sex
Birth date
Death date
Age [†]
Place of death or residence
8
F
6 July 1899
Living[5]
116 years, 192 days
United States
13
F
29 November 1899
Living[5]
116 years, 46 days
16
F
10 March 1900
Living[5]
115 years, 310 days


No comments :