New Video:Nuh Mziwanda Ft Ali Kiba – Jike Shupa
Msanii wa muziki, Nuh Mziwanda ameachia video mpya ya wimbo ‘Jike Shupa’, akiwa amemshirikisha Ali Kiba
Tazama hapa video mpya ya msanii Chura Millionea amemshirikisha Tunda Man ngoma inaitwa ‘Kimaso Maso’
New Video: Pipi – Hello Cover
Tazama hapa video mpya ya wimbo wa ‘Hello’ hii ni cover ambayo imefanywa na msanii Pipi kutoka hapa bongo.New Video: Mirror Ft Baraka Da Prince – Naogopa
Tazama hapa video mpya ya msanii Mirror amemshirikisha Baraka Da Prince ngoma inaitwa ‘Naogopa’
Tazama hapa video mpya ya msanii AKA kutoka South Afrika na Diamond Platnumz ngoma inaitwa ‘Make Me Sing"
TOFAUTI NA TULIVYOMZOWEA KANYE WEST KUWA NA UGOMVI NA PAPARAZZI KWA KUWA HAPENDI MAISHA YAKE YA ANIKWE KWANI TUMESHUHUDIA MATUKIO YA KUVUNJA KAMERA NA KANYE KUINGIA MATATIZONI NA WAANDISHI LAKINI CHA KUSHANGAZA JANA AKIWA ANATOKA UWANJA WA NDEGE ALIWAKUTA WAANDISHI KIBAO NJE NA KUCHUKUA VITABU VYAO VYA KUMBUKUMBU NA KUVISAINI NA BAADAE USIKU ALIPOKUWA AMETOKA NA MKEWE KIM KARDASHIAN KWA MLO WA SUIKU KANYE WEST ALIWEZA KUSIMAMA NA KUWAAMBIA PAPARAZZI PIGENI PICHA NAJUA NA NYIE MNAFAMILIA NA HII NDIO KAZI YENU KWA AJILI YA KUZISAIDIA FAMILIA ZENU KWA HISIA MNOOO KITU AMBACHO KILIPELEKEA WATU WENGI KUITAFSIRI KWAMBA KANYE WEST NI MTU WA KUWEZA KUPATIWA TUZO YA NOBLE..!... AHSANTE SANA KWA MSAADA WA TMZ
Mabishano makali kati ya Mdee na Mwakyembe bungeni
Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe na Mbunge wa jimbo la Kawe, Halima Mdee (Chawaliingia kwenye mvutano mkali huku wakitunishiana misuli ya sheria kuhusu kashfa ya ununuzi wa mabehewa 274 yanayodaiwa kuwa mabovu. Ununuzi huo uliofanywa wakati Dk. Mwakyembe alipokuwa Waziri wa Uchukuzi.

Mdee aliibua tena suala la kashfa ya ununuzi wa mabehewa hayo 274 akisisitiza kuwa ni mabovu, wakati alipopata nafasi ya kuchangia katika Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2011/- 2015/16 ambapo aligusia ahadi ya serikali ya kukarabati reli ya kati ambayo alidai haijatekelezwa ipasavyo.
Dk. Mwakyembe alikanusha taarifa ya kuwepo kwa mabehewa mabovu kati ya mabehewa hayo 274 yaliyonunuliwa wakati akiwa Waziri wa Uchukuzi.
“Leo nikimwambia Halima aniletee mabehewa ambayo hayafanyi kazi atashindwa kunionesha,” alisema Mwakyembe
Sikiliza mwenyewe hapa;
BAADA YA MBUNGE WA GEITA KUITAKA SERIKALI IHALALISHE BANGI NA MIRUNGI KUWA KILIMO CHA BIASHARA NAE MSANII AFANDE SELE ASEMA POMBE INA MADHARA KULIKO BANGI
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), kusema haoni sababu ya serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara kwa maana haoni madhara yake huku akidai kwamba viroba vina madhara zaidi kuliko bangi, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja hiyo ya Joseph Msukuma.
Afande Sele
Msanii mkongwe wa mziki wa hip hop nchini, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja iliyotolewa na mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma
Afande Sele ameunga mkono hoja hiyo na amedai kuwa kuna nchi ambazo tayari wao wamehalalisha matumizi ya bangi na kuthibitisha kuwa pombe ina madhara makubwa zaidi kuliko bangi.
“Legalize it, Don’t criticize it. Korea, Kaskazini, Marekani, Mexico Uruguay na mataifa mengine ya Ulaya yamethibitisha pombe ina madhara kuliko Cannabis Sativa” Alisema Afande Sele.
No comments :
Post a Comment