Friday, October 17, 2014
''TAKE KARE'' IMEKUWA KAMA NGOMA FLANI YA VIJEMBE TOKA KWA LIL WAYNE(Tunechi) NA EXS WAKE HAA HAA...!
WATU WENGI WATASHANGA MNOO KUONA AKIIJIITA ''tunechi' ALIPOULIZWA ALIJIBU NI JINA AMBALO BIBI YANGU ALIKUWA AKIPENDA KUNIITA ALINUKULIWA AKISEMA HIVYO HUYU SI MWINGINE BALI NE RAP LIL WAYNE RAP AMBAYE AMESHAKWISHA KUUZA NAKALA MILIONI KWA MAMILIONI YA ALBUM ZAKE, Dwayne Michael Carter, Jr.,akiwajulikana jukwaani kwa jina la Lil Wayne,ni rapa kutoka New Orleans, Louisiana. na ni baba wa Cameron Carter, Reginae Carter, Neal Carter, Dwayne Carter III alio zaa na wanawake tofauti ambapo mmoja wa wazazi wenzaka alianza kutupa vijembe kwa mpenzi wa sasa wa lil wayne ambaye ni Christina millian, na kusema'' TINA anajiweka kwa Lil Wayne ili aweze kutoka na Mixtape yake ya TINA TURN UP''
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

No comments :
Post a Comment