Saturday, December 27, 2014

Mapenzi yana visa sana Cheki na Hii ya Nick Canon Baada ya kutalikiana na Mariah CCarey nini kinaendelea kati yao.







Nick Cannon na Mariah Carey'sbaada ya kutalakiana mambo yamezidi kuwa mabaya…
Producer Mally Mal amezungumzia kuwa kwakwe busy kwa ajili ya kutengeneza album mpya ya  Nick Cannon, Album ambayo itawashangaza wengi kwa uzuri wake
Mally tells Loud & clear
"He’s talking about Mariah Carey. It’s going to be very controversial."
Ni kawaida tulishuhudia pia Kwa Puffy Daddy b4 kuwa P.Diddy baada ya kumwagana na mtoto Jlo Pale kati penzi liliuma mpaka mchizi akaandika nyimbo"Ineed a Girl" , huku Jlo akimjibu My love Don't cost a Thing''.... So we Can see Love Hurts tuone mzigo wa Nick Canon Ukidrop sokoni plus Mariah Carey atasemaje...

No comments :