MTOTO WA AJABU AIBUKA DAR, ATOA ELIMU AKHERA NA DUNIA
Mtoto Salim akitoa elimu kwa wananchi.
UMATI wa
wakazi wa Temeke jijini Dar, jana walikusanyika kumshangaa mtoto, Salim
mwenye umri wa mika 13 kufuatia uwezo wake wa kujua mambo mbalimbali
sambamba na kutoa elimu akhera na dunia.
No comments :
Post a Comment