Friday, April 25, 2014
HII ILITOKEA WAKATI WA KUMTAFUTA ATAYE CHUKUA NAFASI YA KUCHEZA FILAMU YA MAISHA YA AALIYA
Ilitokea katika mchujo wa wa kumtafuta atakayecheza filamu ya maisha ya Aaliyah!, ndipo huyu msichana ajulikanae kwa jina la Lolita Price alipojitokeza na kuleta taharukia hata kwa wale washiriki wengine kitu kilichopelekea waandaaji kuto kuendelea na mchujo na Lolita Price kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo. TIZAMA HAPO CHINI
Tizama picha nyingine
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
1 comment :
Dah kweli mwanangu Duniani wawili wawili
Post a Comment