Thursday, April 24, 2014

NI MWAKA MZURI KWA PHARELL, ALBUM YA girls SOKONI HALI KADHALIKA KITABU CHA PILI SOKONI PIA KINAZINDULIWA LEO



Happy people are usually generous by nature. Pharrell kwa siku ya leo  (April 24th), anazindua kitabu chake online ambacho bado hajakitoa jina lake hapo baadae tutakijua baada ya kile cha kwanza Pharrell: Places and Spaces I’ve Been ambacho alikitoa October 2012
Pharrell pia alitangaza rasmi siku ya kuzindua ALBUM yake mpya inayokwenda kwa jina la GIRLS ambapo single ya kwanza kutoka inakwenda kwa jina la HAPPY.

Pharrell’s last book, .

No comments :