Friday, April 25, 2014

HII ILITOKEA WAKATI WA KUMTAFUTA ATAYE CHUKUA NAFASI YA KUCHEZA FILAMU YA MAISHA YA AALIYA



Ilitokea katika mchujo wa wa kumtafuta atakayecheza filamu ya maisha ya Aaliyah!, ndipo huyu msichana ajulikanae kwa jina la Lolita Price  alipojitokeza na kuleta taharukia hata kwa wale washiriki wengine kitu kilichopelekea waandaaji kuto kuendelea na mchujo na  Lolita Price  kuchaguliwa kuchukua nafasi hiyo. TIZAMA HAPO CHINI


                      Tizama picha nyingine

1 comment :

Unknown said...

Dah kweli mwanangu Duniani wawili wawili