Thursday, February 13, 2014
Suge...! AINGIA MATATIZONI TENA BAADA YA KUMPIGA MHUDUMU WA SUPERMARKET
Imekuwa ni kawaida mnoo! kusikia Producer mashuhuri Dunia anayekwenda kwa jina la SUGE KNIGHT, kwani hivi majuzi alijikuta matatizoni tena baaaday ya kumpiga mhudumu wa super market kwa kumkatalia kununua WEED kwa kuwa alikuwa hana Dr.Documenty ndicho kitu kilicho pelekea Suge kumdunda jamaa..! imekuwa kawaida mnooo, kwani mara ya mwisho alikuwa matatizoni tena baada ya kurushiana ngumi na jamaa ambaye alikuwa akigombana na KATT WILLIAMS (Mchekeshaji wa kwenye Majukwaa)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment