Thursday, February 13, 2014

HII NI ZAWADI YA VALENTINE KUTOKA KWA BEYONCE KWA MASHABIKI WAKE







Kama ilivyo kwa mumewe kuwa ni mfanya biashara zaidi soma hizi line hapa chini
" I sold Kilos of coke (so?) I'm guessin' I can sell CD's
I'm not a businessman, I'm a business, man
Let me handle my buisness, damn!'

 sasa imegeuka kwa mkewe.., kwa kuingiza VYUPI sokoni kama zawadi kwa mashabiki wake kwa ajili ya sikukuu ya VALENTINE DAY baaada ya mauzo mazuri kwa album yake ya BEYONCE aliyoirelease ONLINE

No comments :