Wakati Janet Jackson akiwa busy kujipanga na ndoa yake na Bilionea wa kiarabu Bw.Wissam Al Manna hali imekuwa tofauti kwa mtoto wa kaka yake (Paris Michael Jackson)kwani wamekuwa kwenye hali ya kuto kuelewana kabiiisa toka pale Michael alipofariki dunia,
paris amekuwa haelewani na Janet coz janet amekuwa akimbana kama shangazi booora bt si unajua watoto wetu wa siku hizi kwa hilo Paris amesema japo yeye ni mmoja wa wana familia hatohudhuria harusi ya shangazi yake Janet.

No comments :
Post a Comment