Wednesday, October 3, 2012

Chriss na Rihanna wajifungia maliwatoni kwa dakika 20

Haya yalitokea katika club moja ya usiku iitwayo Meatpacking nightclub Griffin baaada ya kucheza vya kutosha ikisha wakajifungia maliwatoni  wakati ma staa wengine kibao wakiendelea kula gud time  baadhi ya ma staa waliokuwapo ni Chris Rock and Dave Chappelle, former Giant Antonio Pierce and Tyson Beckford

No comments :