Juzi usiku alionekana mwanadada Rihanna akiwa anatokea moja kati ya Saloon zinazochora michoro ya mwilini(tatooParlor) huko maieneo ya West Hollywood akiwa amefuatana na boyfriend wake mpya Capricorn Clark..Ambaye alikuwa ni Diddy's ex personal assistant,

No comments :
Post a Comment