Wednesday, October 3, 2012

Bow wow atakiwa kulipa mahitaji ya mwanae

Dada wa msichana aliyezaa na Bow wow ameamua kumtolea mchizi uvivu kwa kutokutoa fedha za mahitaji ya mtoto wake aliye zaa na mdogo wake baada ya bow wow kudanganya kipatochake akipatacho kupitia show ya BET ya 106 n Park, si  uanjua wenzentu kila kitu kiko waaazi kama antena yako juu ya bati

No comments :