Friday, March 26, 2010

Usher kuanza kuinadi Album yake ya Raymond vs. Raymond

Mchizi aliibuka BET ktk show ya "106 & Park” na kuzungumzia kwa kiina saana ujio wa album yake mpya itakayo kwenda kwa jina laRaymond vs. Raymond, ambapo itakuwa released 30 march .., mzigo unaingia sokoni, wakati singo ya kwanza" "Hey Daddy (Daddy's Home)",ambapo amemshirikisha mchizi Plies, ilikuwa ipo hewani tokea December 8, 2009. single iliweza kufika #31 ktk chart za Billboard Hot 100 ,na hata kufanya vizuri mpk kufika #3 ktk chartHot R&B/Hip-Hop Songs

No comments :