
Hatimaye mchizi T.I kutoka jela mbaada ya kutumikia kifungo kwa kosa la kukutwa na silaha kinyume cha sheria .., mbali ya T.I kuachiwa huru baado anakabiliwa na adhabu ya kuitumikia jamii kwa masaa 400.T.I ambaye jina lake halisi ni Clifford Harris akiwa anaitumikia jamii baado yuko chini ya uangalizi kwa mda wa miaka mitatu
No comments :
Post a Comment