Wednesday, September 9, 2009

Baada ya D.O.A ya Jay-Z , Nappy Boy aamua kujibu mashambulizi


Duuhh! nimeifumania ktk twitter ya Fab na kama ulikuwa hujui mzazi Albuma ya mchizi Y-O-U-N-G F-A-B-0-L-O-US ipo kitaaani na ilikamata number UNO ktk chati za Billboad 200

No comments :