Wednesday, September 9, 2009

Melbourne, Australia wapagawa na Glove ya MJ


BAada ya kifo chake baadhi ya vitu vyake vingi vimekuwa vikifanyiwa mnada, mfano picha ya Glove unayoiona hapo juu imefanyiwa mnada huko Melbourne, Australia kwa thamani ya $49,000.00. Ni glove ambayo aliivaa ktk harusi, alipooana na Debbie Rowe

No comments :