mwanadafada J Hudson amechaguliwa..... kuhusu nini soma story....!
Mwanadada Jennifer Hudson ni mmoja kati ya wanamuziki waliokuwa na bahati mbaya kwa mwaka 08.., baaada ya kumpoteza ..,mama,dada yake pamoja na mpwa wake..., kwa wote tulimpa pole na hata rais mteule alimuunga mkono kwa kiasi kikuuubwa..., na katika sherehe za kuapishwa kwa rais mteule mwana dada amechaguliwa kuimba wimbo wa taifa...!
No comments :
Post a Comment