Monday, December 29, 2008

Duuuuuuuu...! Tusikilizie March 09 itakuwaje kwa "Cousin"(T.I) sijui atakula mvua ngapi


Mchizi anaitwa Hosea Thomas, alikuwa anashutumiwa kwa kumshoot mchizi wake T.I.anaitwa Philant Johnson in Cincinnati amepigwa mvua 66(miaka 66 jela) March 09 "cousin" atahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja ambazo hizo ni fununu tuu..!,hatuna hakika bt labda inaweza ikawa zaidi...Duuuuuuuuuh!

No comments :