Thursday, January 15, 2009

ilikuwa ni gumzoo mnooo ktk uzinduzi wa Biopic ya Notorious


tunakumbuka Lil kim a/k/a Queen B.... ni mmoja kati ya waaatu wa kariiibu mnooo wa marehemu B.I.G na ndio maaana ktk bio pic ya B.I.G mwanadada kaappear bt moja kati ya sehemu alizoappear mwanadada huyu yeye mwenyewe hakuzipenda kitu kilichopelekea mpk kufikia stage yeye mwenyewe kusikika akimshutumu Ms.Wallace(maza ake B.I.G) kutokana na yeye kuidhinisha moja kati ya vipande vya picha ambavyo vilikuwa vikimuonyesha maisha halisi aliokuwa akiiishi Lil Kim na B.I.G..., watu wa kariiibu alikuwa wakilijadili hili na ndio maaana hata baaadhi ya mastaa waliijitokeza katika Loungin ya bio pic hii namnukuu rafiki wa karibu wa Lil Kim" Kimmy’s old frenemy Charli Baltimore is putting Kim on blast. Story She says Kim was never Biggie’s girl–they just f**ked. Damn." na siii yeye tuu bali hata P.Diddy alikuwa na haya “I can’t believe this shit. This ain’t even about her. She needs to grow up and stop being a baby.”

No comments :