Wednesday, January 21, 2009

Mashabiiki wa kweli huwa hawakuisahau hii siku...!!! Angekuwa anatimiza miaka 30 asa ivi masikini ya mungu...!R.I.P Aaliyah Dana Haughton


Alizaliwa kwa jina la Aaliyah Dana Haughton tarehe ya January 16, 1979,Brooklyn, New York City, New York, United States na yeye angekuwepo angeyashuhudia kuapishwa kwa Obama ..!!!

No comments :