Sunday, December 14, 2008

Tameka ampa Usher zawadi ya kufungia mwaka

Kiumri kiukweli kamzidi mchizi wakati mchizi anapata mtoto wake wa pili ambaye ni wakiume(Naviyd Ely Raymond) yeye tameka anakuwa kafikisha mtoto wA tano inakuwa iko poa coz wanamapenzi ya kutosha japo migongano ktk ndoa, lakini ndio kampa mchizi zawadi ya kufunga mwaka

No comments :