Sunday, December 14, 2008

Beyonce akufuru..........!


Moja kati aliyosikia akijigamba ni kwamba hakulelewa na familia ambayo ilimtumikisha ili waweze kutoka bali yeye alilelewa na familia bora,na nina mnukuu "I grew up upper-class. Private school. My dad had a Jaguar"na kuomba asifanananishwe na Jackson's Familly

No comments :