Sunday, December 14, 2008

Siijui niite "puppy love" au little love birds

Yaaah maaan ilikuwa mzuuka ktk stage moja, the boy Breeezy akimuimbia Princess RiRi mtoto wa ki Barbados we acha tuu haya ndio mapenzi ya ukweli coz baado ni ya kitoto na ni machanga.... NAAAANI AMBAYE HAJA YA MISS

No comments :