Monday, December 15, 2008

Beyonce atamani kuwa successful actress

Mwana dada beyonce anatamani kuwa muigizaji mashuhuri katika drama ambayo haina scene zitakazomfanya yeye kuimba, kwani kasema kuimba kwake kunamfanya awe comfortable, na yeye hataki kuwa hivyo anataka kujituma kila wakati ,kwa hiyo drama ambazo hazina scene za kuimba zitampa challenge....
so kina dada wangapi ktk music industries wanaweza......! tuma maoni

No comments :