Mamong'oo wa Jambo Squad baada ya kufanya poa na ngoma yao ya "MammyLoo" na sasa wakiwa wanajianda zaidi kwa sikukuu ya Iddi kuwa tayari kupokea mzigo wao mpya, Kesho wanangu wa Atown kwa wave za station mbalimbali Tz ikiwemo Swahiba fm 102.9 - Zanzibar.
No comments :
Post a Comment