Wednesday, February 3, 2016

Kenyatta na Buhari kupambana na ugaidi

Makubaliano hayo yameafikiwa kwenye mashauri kati ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na mwenzake Muhammadu Buhari wa Nigeria. Viongozi hao wamekutana katika ikulu ya Nairobi na kusema watafanya kazi pamoja

No comments :