HABARI ZA KITAIFA.
Katibu mkuu wa chama cha wananchi Cuf Maalim Seif Sharif Hamad ametoa ufafanuzi wa vikao vya mazungumzo ya kutafuta muafaka wa uchaguzi yaliyokuwa yakifanyika kati yake na rais wa Znz Dr Ali Moh’d Shein na viongozi wastaafu wa Znz huko Ikulu.
Maalim Seif Shareef Hamad
Akitolea ufafanuzi wa vikao hivyo wakati akizungumza na viongozi wa wilaya na majimbo wa chama hicho huko katika ukumbi wa Majid Kiembe Samaki, Maalim Seif amesema ameshangazwa na kitendo cha viongozi wa chama cha mapinduzi kuunga mkono marejeo ya uchaguzi wakati katika mazunguzo yao walikubaliana kuwa tume ya uchaguzi Znz imepoteza sifa ya kusimamia uchaguzi
No comments :
Post a Comment