Aliyekuwa
mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Dp Abdalla Kombo Khamis ametangaza kutoshiriki katika Uchaguzi wa marudio hapo March
20 pamoja na kujivua rasmi uanachama wa chama hicho.
Akizungumza
na jureji.blogspot.com amesema kuwa haoni sababu ya kushiriki uchaguzi wakati
uchaguzi uliofanyika October 25 mwaka jana ulikuwa huru na haki
Bw. Abdalla Kombo Khamis
Kwa mujibu
wa makamo mwenyekiti wa DP Peter Aghaton Magwira kuliibuka mvutano mkubwa wakati wa
kikao uliosabisha viongozi wa chama kujigawa wengine kutaka kushiriki na
wengine wakipinga, lakini makao makuu ya chama Dar essalam walitaka chama
kishiriki.
No comments :
Post a Comment