Thursday, July 9, 2015

Hii ndiyo miji inayoongoza barani Afrika kwa kuwa na wanawake wazuri

Hakuna shaka kuwa Afrika ni bara ambalo limejaaliwa kuwa na vipawa vingi kwenye sayari hii ya dunia.
Mbali na bara hili kuwa na migogoro kadhaa na wakati mbaya kwa siku za hivi karibuni lakini ni bara ambalo linashangaza zaidi kwa kuwa na vivutio lukuki kuanzia kwa rasilimali watu mpaka kwenye mambo mengine ya kimazingira
Miongoni mwa mambo mengi mazuri bara hili linasifika ulimwenguni kwa kuwa na wanawake wazuri.
Hii ni baadhi ya miji 10 ya Afrika ambayo inaongoza kuwa na wanawake wazuri na maridadi.
10) Cairo – Egypt
cairo
9) Harare – Zimbabwe
harare
8) Johannesburg – South Africa
johannesburg
7) Lagos – Nigeria
lagos
6) Kinsasha – Democratic Republic of Congo
kinshasa
5) Accra – Ghana
ghana
4) Dar es Salaam – Tanzania
dar-es-salam
3) Abidjan – Ivory Coast
Abidjan
2) Nairobi – Kenya
nairobi
1) Addis Ababa – Ethiopia
addis ababa

1 comment :

Anonymous said...

They Cute !! But you don't have to look Soooooooo Long..............