Memphis Depay ni mshambuliaji mpya wa klabu ya Manchester United, mashabiki wake wamemuonya kuwa anaweza kujiingiza kwenye malumbano na muimbaji Chris Brown baada ya jana usiku kupost picha akiwa katika pozi tata na ex girlfriend wa muimbaji huyo, Karrueche Tran Depay ambaye amesajiliwa na United mapema mwezi uliopita, kwa sasa yupo mapumzikoni nchini Marekani ambapo ndio amekutana na Karruache.
No comments :
Post a Comment