Ni kweli Muigizaji maarufu Wema Sepetu anatarajiwa kuingia kwenye ulingo wa siasa?
Ripoti zinadai kwamba Wema Sepetu kupitia chama cha CCM anatarajia kugombea ubunge wa viti maalum mkoani Singida.
Taarifa za Madame kutaka kuingia katika siasa zimetokana na ujumbe uliotumwa mtandaoni na Petitman, mtu wa karibu wa muigizaji huyo akiwa amekumbatiana na mama yake mzazi.
No comments :
Post a Comment