Friday, June 13, 2014

MAFIOSO ATAKA KUUNGAMA KWA PAPA


Kigogo mmoja wa zamani wa kundi la mafia amemuandikia barua Baba Mtakatifu, akiomba kwenda kuungama na kukiri "siri tatu muhimu sana" ikiwemo moja maarufu nchini Italia ya kupotea kwa mtoto.Katika barua hiyo yenye kurasa sita, Vincenzo Calcara amesema ana "uhakika" kuungama kwake kutabadili matukio kadhaa, kwa mujibu wa gazeti la La Repubblica. Calcara alikuwa miongoni mwa Cosa Nostra wa Sicily,- yaani watu wa ndani kabisa wa mafia- kabla ya kugeuka na kuwa "pentito", yaani 'mshirika wa polisi.'
Sasa anataka kukutana na Papa Francis, ana kwa ana ili 'kuubwaga moyo' wake kuhusiana na kupotea kwa msichana mwenye umri wa miaka 15, Emanuela Orlandi mwaka 1983 mjini Roma. Binti huyo alikuwa mtoto wa mfanyakazi wa Vatican, limeripoti gazeti la II Messaggero.
Katika mkutano na familia za waathirika wa shughuli za mafia mwezi Machi, Papa Francis aliwaonya mafia kuwa "wataishia motoni" ikiwa hawata ungama. Hotuba yake inadhaniwa kuwa moja ya shambulio kali dhidi ya genge kubwa la uhalifu nchini Italy
Sasa anataka kukutana na Papa Francis, ana kwa ana ili 'kuubwaga moyo' wake kuhusiana na kupotea kwa msichana mwenye umri wa miaka 15, Emanuela Orlandi mwaka 1983 mjini Roma. Binti huyo alikuwa mtoto wa mfanyakazi wa Vatican, limeripoti gazeti la II Messaggero.Katika mkutano na familia za waathirika wa shughuli za mafia mwezi Machi, Papa Francis aliwaonya mafia kuwa "wataishia motoni" ikiwa hawata ungama. Hotuba yake inadhaniwa kuwa moja ya shambulio kali dhidi ya genge kubwa la uhalifu nchini Italy

Sasa anataka kukutana na Papa Francis, ana kwa ana ili 'kuubwaga moyo' wake kuhusiana na kupotea kwa msichana mwenye umri wa miaka 15, Emanuela Orlandi mwaka 1983 mjini Roma. Binti huyo alikuwa mtoto wa mfanyakazi wa Vatican, limeripoti gazeti la II Messaggero.Katika mkutano na familia za waathirika wa shughuli za mafia mwezi Machi, Papa Francis aliwaonya mafia kuwa "wataishia motoni" ikiwa hawata ungama. Hotuba yake inadhaniwa kuwa moja ya shambulio kali dhidi ya genge kubwa la uhalifu nchini ItalySasa anataka kukutana na Papa Francis, ana kwa ana ili 'kuubwaga moyo' wake kuhusiana na kupotea kwa msichana mwenye umri wa miaka 15, Emanuela Orlandi mwaka 1983 mjini Roma. Binti huyo alikuwa mtoto wa mfanyakazi wa Vatican, limeripoti gazeti la II Messaggero.Katika mkutano na familia za waathirika wa shughuli za mafia mwezi Machi, Papa Francis aliwaonya mafia kuwa "wataishia motoni" ikiwa hawata ungama. Hotuba yake inadhaniwa kuwa moja ya shambulio kali dhidi ya genge kubwa la uhalifu nchini Italy

No comments :