Polisi wa jiji la
New York wamemtumia ujumbe muandaaji wa midundo ya muziki ajulikanaye kwa jina la "
THE DREAM"(real name
Terius Nash) Kwa kuhitajika afike kituoni kwa kosa la kumpiga aliyekuwa
Ex-Gf wake ajulikanae
Lydia Nam amabye alikuwa mjamzito kwa kipindi hicho lakini muuandaaji huyu alipotezea na kusema malalamiko hayo hayana uzito ndani yake.
Kutokana na sharia inavyojieleza tukio hili lilichukua nafasi April 2013 ndani ya Plaza Hotel, Miezi mitatu kabla ya Lydia kujifungua motto wa kiume.
Picha ya chini ikimuonyesha
The Dream(real name
Terius Nash) na Lydia.

No comments :
Post a Comment