Ni ujuo mwingine baada ya kuandamwa na matatizo kibaaao ya kuto kulipa kodi, kukutwa akiendesha gari akiwa amelewa na kadhalika.. bt ameamua kuigiza mwenyewe ktk sinema ambayo itakuwa inayazungumzia maisha yake mwenyewe ambayo DARK MAN X aliyaelezea katika kitabu chake cha mwaka 2003 hapo chini ni picha ya kitabu chake na baadhi ya maneno.
Wednesday, April 30, 2014
DMX KUCHEZA FILAMU INAYOZUNGUMZIA MAISHA YAKE KUTOKA KATIKA KITABU CHAKE CHA MWAKA 2003
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment