Saturday, July 20, 2013

"LEGENDS OF THE SUMMER_TOUR YA Jay-z katika show alioifanya YANKEE STADIUM NYC-aliamua ku DEDICATE "FOREVER YOUNG KWA.....soma Story chini





Bwana mdogo wa miaka 17 anayejulikana kwa jina la TRAYVON MARTIN alikufa kwa kupigwa risasi ijumaa usiku ilizua simanzi pale Jay-z alipoomba taa zizimwe na kuwashwa simu na kuwekwa juu na kuamua kuidedicate "Forever young" kwa ajili ya bwana mdogo Black america aliye uwawa

No comments :