Saturday, July 20, 2013
DANO PAPARAZI ANAYEPATA SULUBA MARANYINGI TOKA KWA MA SUPER STAR
Dano yule paparazi ambaye kama unakumbuka alishawkuzinguliwa na Britney kwa kupigwa na mwamvuli na Britney alipouacha mchizi Dano akauingiza mnadani kwa e-Bayile ilikuwa 2007 Kwenye kiwanja kikubwa cha ndege cha LAX kilichokuwapo LA,this time Dano kama kawaida yake ya kusaka picha akamkwaa Kanye.Na kuamua kumfungulia Kanye mashtaka baada ya kumkunja mikono, so Baada ya uchunguzi nitakupatia story zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment