Monday, November 1, 2010

Nick Minaj afungua kinywa kumjibu Lil Kim


What a Crazy collabo
Eminem ft Nick Minaj- 'Roman's Revenge'
Baada ya Lil Kim kumshutumu Nick Minaj mwanzoni mwa mwezi wa July ya kwamba anaiga muonekano wake wa nywele(Swagga zake za kuweka rangi nywele), Nick alikaa kimya mnoo na sasa kaamua kumtolea uvivu baada ya kuitwa Shady Records na eminem na kufanya bonge la Collabo....!
Usiache Kusikiliza Hits fm 93.5 zanzibar utaisikia ngoma tuu...!

No comments :