
Baada ya kutokea katika jarida la Sister 2 Sister aliyekuwa mke wa producer SWIZZ BEAT alimfungulia bomba ALICIA KEYS ambaye ni mke wa sasa wa producer SWIZZBEAT(Kassem Dean) ya kwamba asilazimishie mtoto wake amwite alicia mama. mtoto huyo aitwaye Kasseem Jr amekuwa akilelewa na Alicia keys, wataalam wa mahusiano wanasema ya kwamba wivu ndio unaopelekea Mashonda kuanza chokochoko.
No comments :
Post a Comment