Monday, April 5, 2010

Kwa mara hii nakuonyesha muonekano TOFA na UTI wa Beyonce


Kwa mara ya kwanza Beyonce anaonekana akiwa anatoka na Mumewe Shaun Cater(Jay-Z) akiwa amevaa viatu vya chini..! hii ilikuwa wakati wanaelekea ktk party ya kusherehekea miaka miwili ya ndoa yao this weekend

No comments :