Thursday, December 18, 2008

Tusiwe na tamaduni za kupenda movie na album mpya tuu..!Hata vitabu pia

Mchizi anakwenda kwa jina la Tyler Perry ame Direct movei inayokwenda kwa jina la "Mad diary of Black women" na kunakipindi kulikuwa kuna tetesi kwamba ana mahusiano na mwana mama mwenye fuba ndeeefu(Oprah Winfrey) natumai wapenda vitabu wapo Anxious Kukisoma kitabu cha mchizi kwani hata movie zake tunazikubaaali mnooo

No comments :