katika holiday ya Thanksgiving amayo ilichukua nafasi weekend hii Naomi Campbell na boy friend wake billionea la kirusi Vladimir Doronin walionekana wakiwa pamoko ile mbaya katika fukwe za South Beach Miami huku dada yako akiwa ameshine na diamonds za kutosha katika vidole vyake na sehemu nyingine ambazo madini huchukua nafasi, marafiki wa karibu ndio waliotonyesha hii kwamba siku za hizi karibuni mwana dafada atavishwa pete ya uchumba na mchizi
Monday, December 1, 2008
Naomi Campbell yasadikiwa kuvalishwa pete mapeema
katika holiday ya Thanksgiving amayo ilichukua nafasi weekend hii Naomi Campbell na boy friend wake billionea la kirusi Vladimir Doronin walionekana wakiwa pamoko ile mbaya katika fukwe za South Beach Miami huku dada yako akiwa ameshine na diamonds za kutosha katika vidole vyake na sehemu nyingine ambazo madini huchukua nafasi, marafiki wa karibu ndio waliotonyesha hii kwamba siku za hizi karibuni mwana dafada atavishwa pete ya uchumba na mchizi
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment