Wednesday, December 17, 2008

Kweli mtu hatupi asili yakee...!

Mchizi ambaye ni muigizaji Isaiah Washington mbali ya yeye kuzaliwa Houston Texas aliweza kupata nafasi ya kukutana na Rais wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma na rais akampatia uraia Sierra Leone, moja kati ya vitu ambavyo alikuwa akiviota kuvipata
Kama unamkubali mchizi pata nafasi tizama movie yake moja inaitwa TRUE CRIME

No comments :