Thursday, December 18, 2008

Imebidi mtv wakiri hayaa..!"Lil’ Wayne is MTV’s Man of the Year"


Dwayne Michael Carter Jr. ndilo jina alilopewa na wazazi wake wawili na kiukweli kituo kikuuubwa cha televisheni ktk sekta ya burudani wamekiri kwa mfulilizo wa miezi 12 mchizi ameappear katika ft kibao na kafanya vizuri plus ngoma zake mwenyewe na kikubwa ambacho wenzetu wanakitizama zaidi ni mauzo bado "ametiiiiiisha"

1 comment :

Anonymous said...

kwanini sasa wasikiri...Huyu jamaa ni m baaaay!