Tuesday, June 13, 2017

JAMBO SQUARD BAADA YA KURELEASE "MammylLoo"!, SASA TENA

Mamong'oo wa Jambo Squad baada ya kufanya poa  na ngoma yao ya "MammyLoo" na sasa wakiwa wanajianda zaidi kwa sikukuu ya Iddi kuwa tayari kupokea mzigo wao mpya, Kesho wanangu wa Atown kwa wave za station mbalimbali Tz ikiwemo Swahiba fm 102.9 - Zanzibar.

Sunday, June 11, 2017

Mashindano ya Diwani, Kule Kilungule yazidi kufana

Mh.Diwani Said Fella baada ya kuwaweka vijana pamoja kupitia muziki na kuwafikisha kwenye mafanikio sasa kupitia  soka letu,
Mh.Fella kuwaweka pamoja vijana kupitia michezo kupitia Diwani Cup akiwa kama Diwani wa Kilungule
Tunajua michezo inatuweka pamoja
Hongera Mh.Fella