Mbarook mmoja wa memba wa Chuga Mceez Amerelease mzigo wake akiwa na Chindo from Atown ambaye makazi yake ni U.S.A, but kwa kutoa sapoti kwa vijana wenzake Chindo man ameanzisha ukurasa wa (africanmusic.com) kusaidia soko la muziki wa Atown International ways...! Big up Chindo and big up real MC from Atown who doing music for life.
Ingia (africanmusic.com) kupata mzigo huu Mpya wa Mabrook from Chugga Mceez.
No comments :
Post a Comment