Kendrick Lamar amepata kura ya Rais Obama baada ya kuulizwa kwenye
shindano la kuchana nani atashinda kati ya Kendrick Lamar na Drake.
Rais Obama alivyoulizwa swali hili hakusita hata kidogo na
kumchagua Kendrick Lamar huku akisema …
“Gotta go with Kendrick, think Drake is an outstanding entertainer, but Kendrick, his lyrics… His last album [To Pimp a Butterfly] was outstanding. Best album, I think, last year.”
“Gotta go with Kendrick, think Drake is an outstanding entertainer, but Kendrick, his lyrics… His last album [To Pimp a Butterfly] was outstanding. Best album, I think, last year.”
Wiki mbili nyuma Obama alisema kuwa wimbo wake bora wa mwaka 2015
ni wimbo wa Kendrick Lamar “How Much a Dollar Cost” na Kendrick alialikwa
kwenye nyumba ya rais Obama ‘White House’ kuongelea kampeni ya elimu kwa vijana
juu ya maisha bora inayofahamika kama ‘My Brother’s Keeper”.
Obama pia alikubali msanii Kendrick Lamar
apokee zawadi ya ufunguo wa jiji la Compton kutoka kwa Maya Aja Brown
No comments :
Post a Comment