Friday, October 9, 2015

BAADA YA MANENO MENGI MARA OOHH ''ROMA'' KAFUKNGWA KWA KUACHIA NGOMA YA ''VIVA ROMA'',Roma kuachia wimbo mpya October 25

Msanii wa bongo faleva Roma amesema atatoa wimbo Mpya asubuhi na mapema mnamo tarehe 25 mwezi huu October,Roma aliandika kupitiaukurasa wake wa Instagram



New Song……Loading!!!!!! Nitai#Release Asubuhi saaaana!!! Siku Ya Tarehe #25thOCTOBER Ee Mungu Nisimamie!!!! #ViVaROMAViVa #ViVaROMAViVa #ZABURI -Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. -Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali. -Maana hamna neno ulimini mwangu Usilolijua kabisa, Bwana!!!!!!



No comments :