Tuesday, April 21, 2015

Vanessa Mdee: Akubali ni kweli Jux ni Boyfriend Wangu

10958676_1630544703840231_923058955_n
Mwana Dada anaye fanya vizuri kwa sasa Vanesa Mdee a.k.a Vee Money hivi karibuni alikiri kuwa ni kweli Jux ni boyfriend wake kwa upande wa Jux alisha wahi kukubali kuwa Vanessa Mdee ni girlfriend wake lakini Vee Money alikuwa bado hajawahi kusema kwa mdomo wake mwenyewe kuhusu suala hilo.


Vee Money alikuwa mgeni kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumapili hii ambapo mmoja wa wasikilizaji alitaka kujua ukweli wa uhusiano wao.
“Yes Feisal ni kweli, Jux is my boyfriend,” Vee alimjibu msikilizaji huyo.

No comments :